Wakati mmoja, kwa sababu ya majukumu ya ofisi, mwandishi huyu wa habari alifuatilia kikao katika Chuo cha zamani cha Paulista Academy of Letters, huko Largo do Arouche, katikati mwa jiji la Sao Paulo.
Diego Armando Maradona, ambaye alifariki Jumatano akiwa na umri wa miaka 60, alikuwa na uwezo mkubwa uwanjani, lakini pia alikuwa kwenye vichwa vya habari ulimwenguni kote na taarifa zake ziliandikwa ...
Kiswahili kina utajiri mkubwa wa misemo, methali na simo, ambazo licha ya kufumbata ujumbe mzito ndani yake, pia hutumiwa na Waswahili wenyewe kuakisi maisha na mazingira yao. Kwenye sehemu hii ya ...
Vijana wamekuwa wakitumia misemo katika mawasiliano yao ya kila siku. Wenyewe wanasema inakuza mahusiano miongoni mwao na kuleta uchangamfu katika mazungumzo. Sikiliza makala ya vijana mchakamchaka.